GET /api/v0.1/hansard/entries/1465005/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1465005,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1465005/?format=api",
"text_counter": 38,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Mara nyingi tumejipata baada ya kwenda likizo tunarudi hapa kwa sababu ya Hoja ambazo zinahitaji kuchukuliwa hatua. Pia ningependa kusisitiza ya kwamba position ya Seneta iko na changamoto sana. Katika positions zote zilizoko, Maseneta hawapati nafasi ya kutumia mgao wa pesa kikamilifu. Sio rahisi kupata kuwa Seneta amewekewa kitengo cha pesa anazoweza kutumia kwa miradi ya maendeleo. Mara nyingi Maseneta wanatumia pesa zao wenyewe."
}