GET /api/v0.1/hansard/entries/1465006/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1465006,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1465006/?format=api",
"text_counter": 39,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ni jambo muhimu kuzingatia ya kwamba mambo yaliyo mbele yetu ni mambo ya kitaifa. Kwa sasa tuko hapa kwa sababu ya jambo hili la gavana kuwachishwa kazi. Ni jukumu letu kuchukua hatua ya kufanya uamuzi dhidi ya hii kesi ya gavana Kawira. Itakuwa vyema ikiwa tutaweza kugeuza kalenda ili tuwapatie nafasi Maseneta ambao wamekuja, wako hapa, waweze kurudi na kushughulikia wananchi mashinani. Naunga Hoja hii mkono."
}