GET /api/v0.1/hansard/entries/1466372/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1466372,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1466372/?format=api",
    "text_counter": 1244,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Duncan Gitonga",
    "speaker_title": "The Interpreter",
    "speaker": null,
    "content": " Bw. Spika, jina langu ni Gitonga Kabori. Nitapeana tafsiri iliyo kwenye kanda inayoendelea sasa. Anasema amefurahi kwa sababu hakuna mtu yeyote analipa kodi katika Kaunti ya Meru, kule Maua. Na hakuna siku watarudi tena kulipa hata hizo chuma zikiuzwa skrepu. Chuma zile ziko kule, ziuzwe zikiwa nini? Zikiwa skrepu. Tunaenda kutangaza ya kwamba hakuna mahali kwingine kodi italipwa. Tuje tukapeane pesa zetu ziende kutolewa kama hongo kwa Maseneta. Hatutafanya hivyo kwa mara nyingine."
}