GET /api/v0.1/hansard/entries/1466444/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1466444,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1466444/?format=api",
    "text_counter": 1316,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Sisi Maseneta ni kama Majaji katika kesi hii. Ni vyema tupate mwelekeo iwapo majaji wataweza kupea mwelekeo mshukiwa ama mshtakiwa jinsi ya kukabiliana na mwenzake katika hafla ya kujitetea."
}