GET /api/v0.1/hansard/entries/1467160/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1467160,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1467160/?format=api",
    "text_counter": 2032,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Duncan Gitonga",
    "speaker_title": "The Interpreter",
    "speaker": null,
    "content": "Lingine ambalo ninalo kwa viongozi waliokuwa wanauzungusha ule mwili wa Sniper. Wale waliokuwa katikati ya biashara hii, pesa waliokusanya hadi leo ni zaidi ya Shilingi 86 milioni. Tunataka bibi ya Sniper ajengewe nyumba ya ghorofa na pia anunuliwe gari aina ya Prado---"
}