GET /api/v0.1/hansard/entries/1467412/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1467412,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1467412/?format=api",
    "text_counter": 2284,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Hyrene Kawira",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Tangu Gavana aseme kuwa nilipatiwa Ksh86 milioni, sijawahi pata amani. Kwanza, wale wote ambao walikuwa wanakuja kunipa faraja walinitoroka nikabaki peke yangu. Ikabidi mimi nihustle for my kids because their father who was the bread winner is no more. I was the one to hustle for my bills. Mambo hayo yalifanya hata nikiambia community kuwa mimi niko na shida wanaona tu niko na Ksh86 milioni. Ilifanya nikawa sina hata security na kila mtu ananiona kama pesa tu."
}