GET /api/v0.1/hansard/entries/1467739/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1467739,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1467739/?format=api",
    "text_counter": 2611,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Mheshimiwa, swali langu ni kuhusu kilimo. Kila kaunti ina kamati ya kilimo na mifugo. Ng’ombe ishirini ilikufa na kila ng’ombe ilikuwa ni shilingi elfu mia mbili. Hizo ng’ombe zilikuwa katika kijiji kimoja. Kila kijiji kina mbuzi, kondoo, ngamia na punda. Wakati ugonjwa uliingia, je, kamati ya kilimo na mifugo ilitembea kona zote za Meru County kufanya hesabu ili waweze kuona ni mufugo wangapi wamekufa ili tuweze kujua kama uchumi wa Meru umeimarika au umekuwa ukirudi chini. Ng’ombe ishirini kwa shilingi elfu mia mbili ni milioni nne. Ukihesabu utaona kuna ward ambapo ng’mbe arubaini na tano wakufa, hizo pesa zinakuwa ni kiwango cha juu sana. Mlipata wakati wa kasaidia ua mlifanya vipi kuinua uchumi wa Meru kuhusu mifugo hii?"
}