GET /api/v0.1/hansard/entries/1467833/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1467833,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1467833/?format=api",
"text_counter": 2705,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Tabitha Mutinda",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nakupa pole zangu kwa kumpoteza mume wako Sniper. Nimeona katika video kwamba ulikerwa sana wakati Gavana alieleza kwamba ulipokea Shilingi milioni 86 taslimu na kwamba unaishi na Member of the County Assembly (MCA) mmoja wa Kaunti ya Meru. Ulichukuwa hatua gani kuondoa maneno haya ambayo kulingana nawe sio maneno ya kweli? Kwa kizungu tunasema, to clear the air. Asante Bw. Spika wa Muda."
}