GET /api/v0.1/hansard/entries/1469780/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1469780,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1469780/?format=api",
"text_counter": 1365,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Swali langu kwa mheshimiwa ni hili; wakati wa kuondolewa mamlakani kwa Gavana Kawira mara ya kwanza na mara ya pili, ulikuwa hapa ukiunga mkono ili aweze kutimuliwa. Sasa, unasema kwamba baadaye, ulienda ule upande mwingine ili uweze kuleta watu pamoja. Wakati ulienda upande ule mwingine ili ulete watu pamoja, ndio wakati mheshimiwa mmoja alisema kwamba ng’ombe 20 wa pesa nyingi walifariki. Pia tukaona The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}