GET /api/v0.1/hansard/entries/1469781/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1469781,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1469781/?format=api",
    "text_counter": 1366,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kwa video watoto wakizaliwa nje ya hospitali. Hospitali hiyo ilikuwa haifianyi kazi kwa sababa madaktari hawakuwa mle ndani. Ukiwa mtu wa kuleta watu pamoja kama unavyodai, ulichukua hatua gani ama wewe ni mmoja wa wale walipatiwa pesa ili wamuunge mkono gavana. Asante."
}