GET /api/v0.1/hansard/entries/1469789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1469789,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1469789/?format=api",
    "text_counter": 1374,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Shahidi mheshimiwa Mawira, sijui ni kuamini leo ama ule wakati mwingine ulikuja hapa. Hii ni kwa sababu Bibilia inasema unapaswa utumiwe kama chombo. Sijui kama wewe ni chombo? Unasema ulishurutishwa na ulitishwa wakati ule mwingine. Leo ulipokuwa ukiongea, ulisema ya kwamba huwezi kutaja majina fulani kwa sababu unahofia maisha yako. Sijui nitakuamini leo ama wakati ule mwingine. Nina ugumu na ninakanganyikiwa."
}