GET /api/v0.1/hansard/entries/1470406/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1470406,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1470406/?format=api",
    "text_counter": 1991,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kawira Mwangaza",
    "speaker_title": "The Governor of Meru County",
    "speaker": {
        "id": 1325,
        "legal_name": "Kawira Mwangaza Mwenda",
        "slug": "kawira-mwangaza-mwenda"
    },
    "content": " Asante sana Seneta. Nilipotoka hapa wakati wa Impeachment Motion ya kwanza na Seneti ikaniambia nitafute njia ya kufanya kazi pamoja na watu wa vyama vingine, nilimtafuta Bi. Linda, aliyekuwa anawania kuwa naibu gavana wa Linturi wakati wa Kutafuta uongozi. Nikamwabia tufanye kazi pamoja. Wakati nilimtafuta, sikuwa na roho mbaya. Hakuwa amenikampeinia na hatukuwa tunajuana, lakini kwa sababu nilitaka kuleta nyumba yote na Wameru wote pamoja, nikamchukua hata kama alikuwa mpinzani wangu. After one year, alikuwa na kazi nyingi sana maana ni wakili na alikuwa anafanya kazi zake. Kwa hivyo, ilikuwa vigumu kumpata. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}