GET /api/v0.1/hansard/entries/1470408/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1470408,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1470408/?format=api",
"text_counter": 1993,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kawira Mwangaza",
"speaker_title": "The Governor of Meru County",
"speaker": {
"id": 1325,
"legal_name": "Kawira Mwangaza Mwenda",
"slug": "kawira-mwangaza-mwenda"
},
"content": "kulikuwa na wakati alikuwa anatafuta kiti kwa Law Society of Kenya (LSK) na akawa hapatikani kabisa. Nilimuita kwa ofisi yangu na tukaongea. Nilimwambia kwamba, kwa sababu Kaunti ya Meru ina changamoto nyingi na kuna mambo mengi yanayohitaji advisory, aje awe karibu na mimi. Aliniambia hapatikani. Hivyo basi, nilimwambia kama hapatikani na kuna maneno mengi ambayo anapaswa kuhusishwa, tukakubaliana ya kwamba atatoka kwa hiari yake, lakini baadaye alikataa. Nikaona ni vyema nitafute mtu mwingine ama nimusimamishe kazi ndio Kaunti ya Meru iweze kuendelea vizuri. Sina ubaya wowote na yeye."
}