GET /api/v0.1/hansard/entries/1473429/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1473429,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1473429/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii kuchangia jambo hili. Kwanza, ni kuwa wakati ambapo tunakutana na Mawaziri, ni muhimu kujua kuwa tuna vitanda za kulala na mahali pa kwenda. Si eti huwa tumekaa bila kazi ya kufanya. Kumbuka Jumatano zote hakuna Kamati ambayo inakaa kuangalia jambo lingine kwa sababu tumetenga wakati muhimu kujadili maneno haya."
}