GET /api/v0.1/hansard/entries/1473470/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1473470,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1473470/?format=api",
"text_counter": 135,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Asante, Bw. Naibu Spika. Ningetaka kumuuliza Waziri kama anaelewa kwamba wote waliopata majeraha na kuumia wakati wa kile kitendo cha ugaidi kwenye nyumba ya ubalozi wa Marekani walikuwa Wakenya na wananchi ya Kiamerika. Je, Waziri ana habari kuwa wananchi wote wa Amerika walilipwa fidia, majeraha yao kuhudumiwa hospitalini na kuwa walitunzwa vizuri na nchi yao? Kwanza---"
}