GET /api/v0.1/hansard/entries/1473475/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1473475,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1473475/?format=api",
    "text_counter": 140,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Senate Minority Leader (Sen. Madzayo): Asante.",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Vile vile, nataka kuuliza; je ni juhudi gani ambazo yeye kama Waziri na Wizara yake ikiwa husika---? Nilikuwa Marekani na jambo hili lilinifuata sana. Zile pesa za kuwalipa wale Wakenya hazijapatikana. Ni juhudi gani Wizara yake inafanya kufikia hivi sasa kuona kwamba fidia hii kutokana na pesa ambazo zilitolewa na Serikali ya Marekani zimewafikia Wakenya hawa kwa sababu hawajazipokea?"
}