GET /api/v0.1/hansard/entries/1473478/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1473478,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1473478/?format=api",
"text_counter": 143,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mutua",
"speaker_title": "The Cabinet Secretary for Labour and Social Protection",
"speaker": {
"id": 13137,
"legal_name": "Robert Mutemi Mutua",
"slug": "robert-mutemi-mutua"
},
"content": "Wakati wale ambao hawajapata pesa za Inua Jamii watakuja kumwona Katibu katika ofisi yangu, tutawatajia mambo kama hayo ili waweze kufuatilia kwa sababu ni haki yao. Damu iliyomwagika, iwe ya Mmarekani au Mkenya bado ni damu. Kama wengine walilipwa, mbona hatukulipwa? Kama kuna Wakenya walilipwa, tujue ni wangapi na ni akina nani ili tuweze kufuata haki ya wananchi wetu. Hiyo ndio kazi ya Serikali. Asante sana, Mheshimiwa."
}