GET /api/v0.1/hansard/entries/1473486/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1473486,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1473486/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Cabinet Secretary for Labour and Social protection",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. (Dr) Mutua): Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. Sen. (Dr.) Murango ameuliza swali la kwanza vizuri sana kwamba, tuna hizi takwimu zote za kumtambua Mkenya. Vile tumefanya katika mkondo huu wa kidijitali ni tumeanza kuchukua hayo majina kutoka kwa Wizara ya Interior na National Administration na kuyaweka katika ratiba ambayo inafaa. Tayari katika magazeti, umeona tumeongea kuhusu vijana wanaoitwa"
}