GET /api/v0.1/hansard/entries/1473488/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1473488,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1473488/?format=api",
    "text_counter": 153,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Cabinet Secretary for Labour and Social protection",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Wanaenda chini kudhibitisha kama hao watu wako. Pengine wengine wameaga dunia ama walihama. Pengine mzee alikuwa anaishi kule Meru na watoto wake wako Nairobi au Mombasa, na wamehama kutoka Meru wamekuja Nairobi au Mombasa ama walienda nchi nyingine. Hawako tena upande huo. Hii ni kudhibitisha tu ya kwamba wapo, ndio kwa mara moja, tunaweza kuwaongeza hao ambao wamefikisha miaka hiyo. Kwa hivyo, ni jambo ambalo tulianza hivi majuzi na tutaweza kulifanya liwe thabiti kabisa kwa siku zijazo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}