GET /api/v0.1/hansard/entries/1473697/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1473697,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1473697/?format=api",
    "text_counter": 362,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante sana Bi Spika wa Muda. Ningependa kumuuliza Waziri kama bajeti iliyoko ambayo amesema tayari kuna mgao wa kuweza kumaliza hizi barabara ziko katika ile bajeti ya Kshs17 milioni? Je, hizi barabara zimewekwa katika zile orodha ambazo zitakuwa zikilipiwa ili ziweze kuendelea? Hilo ndilo swali langu la ziada."
}