GET /api/v0.1/hansard/entries/1473866/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1473866,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1473866/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante, Mheshimiwa Naibu Spika. Niruhusu nizungumze katika Kiswahili ili wale machifu wa kule Pwani na Kilifi wanielewe vizuri. Kila tunapokaa hapa, tunahimiza watoto wetu wasome. Wanafunzi wamekuja kutuangalia hapa. Haitakuwa sawa tukisema machifu wasiwe sawasawa na mizani ya kusoma, eti watoke tu ndani ya nyumba. Machifu wanafanya kazi nzuri. Mhe. Kamket anasema wawe na masomo ya hali ya chini ilhali hao ni watu sawasawa na viongozi wengine The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}