GET /api/v0.1/hansard/entries/1473872/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1473872,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1473872/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": null,
"content": "hawaendi shule kwa sababu ya uhaba wa maji na maisha ya kuhama kutoka sehemu moja hadi nyingine. Hali hiyo huwazuia kusoma kawaida kama watu wengine. Mhe. Naibu Spika, naunga mkono Mhe. Kamket. Hatujasema machifu wasiendelee na masomo. Waendelee kusoma, lakini alama ya C isiwe kikwazo kwao kupata kazi."
}