GET /api/v0.1/hansard/entries/1474223/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1474223,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1474223/?format=api",
"text_counter": 125,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Jambo la kusikitisha zaidi, watoto wa kiislamu wanashikwa kila uchao na baadaye hawapatikani, ama wapatikane wamekufa ama wasiachiliwe. Tunataka jambo hili likome. Polisi wakishika mtu, wampeleke kortini na kumshataki ili afungwe kisheria. Wakifanya hivyo, jamii yake itaamua kama itamuwekea mawakili ama itamsaidia namna gani ili arudi nyumbani. Asante Bw. Naibu Spika."
}