GET /api/v0.1/hansard/entries/1474283/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1474283,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1474283/?format=api",
"text_counter": 185,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Naunga mkono Kauli ambayo imeletwa na Sen. Mandago kuhusu wakulima wa mifugo. Wakulima kutoka Kaunti ya Embu; Runyenjes na Manyatta ni wakulima wa mifugo. Wanafanya kazi ngumu lakini malipo imeleta shida. Pia wafanyikazi waliokuwa wakifanya kazi kwenye kampuni ya maziwa ya Kenya Cooperative Creameries ( KCC), miaka 30 iliyopita bado hawajalipwa. Hivi sasa tunasikia Kenya Cooperative Creameries (KCC) inataka kuleta mambo mengine yakupeleka hiyo kampuni kwa watu. Ningeomba wale watakaoenda kufanya uchunguzi waangalie vizuri ndiposa wakulima wafaidike kwa sababu wameumia sana."
}