GET /api/v0.1/hansard/entries/1474285/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1474285,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1474285/?format=api",
"text_counter": 187,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Jana tulisikia hutambui hata Cabinet Secretary. Ni aibu kubwa sana. Kwa hivyo, Seneta wa Nairobi wewe ni rafiki yangu. Ni sharti uheshimu watu wengine kwa sababu wakati mwingine wewe ndiwe utakuwa pale juu. Kama hauna heshima, utaheshimiwa na nani, ndugu yangu? Shauri yako. Hivyo basi, mheshimu Rais William Samoei Ruto. Next time, tutakutafutia cheo kikubwa uje kwa Serikali ya Muungano."
}