GET /api/v0.1/hansard/entries/1474589/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1474589,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1474589/?format=api",
"text_counter": 108,
"type": "speech",
"speaker_name": "Tigania West, NOPEU",
"speaker_title": "Hon. Mpuru Aburi",
"speaker": null,
"content": "Kule kwetu nyumbani ama kwa hawa Wabunge unaona hapa hivi, kuna busaa na pombe ya kutosha. Polisi walioko pale wakishika pombe, hawapeleki kortini. Inabaki pale kwenye stesheni ya polisi. Kanja akipata hii, atatimiza ule wajibu."
}