GET /api/v0.1/hansard/entries/1474590/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1474590,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1474590/?format=api",
    "text_counter": 109,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Tigania West, NOPEU",
    "speaker_title": "Hon. Mpuru Aburi",
    "speaker": null,
    "content": "Kanja sio mtu wa Mt Kenya. Ni Mkenya. Ni Mjaluo, Mluhya, Mkamba, Mmeru. Sio kusema kwamba tukimpa atakuwa akisema mambo ya mlima. Hakuna mambo ya mlima kwa Kanja. Atakuwa ni Mkenya mzalendo ambaye anapenda kila mtu."
}