GET /api/v0.1/hansard/entries/1474998/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1474998,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1474998/?format=api",
"text_counter": 38,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kwa kufika hapa kujibu maswali haya ya Tana River. Siku hizi yeye siyo Spika bali ni Waziri wetu na ningependa kumuomba atembee Tana River. Asiskize vile maafisa wake wanamwambia. Hii Huduma Centre iko katika barabara kubwa inayoingia"
}