GET /api/v0.1/hansard/entries/1475002/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1475002,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1475002/?format=api",
    "text_counter": 42,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ya hizo tiles imebaki. Enda uone wewe mwenyewe. Hakuna hata maji ndani ya hiyo Huduma Centre. Watu wanasumbuka. Bw. Waziri hajataja ni pesa ngapi ambazo zimewekwa mwaka huu za kumalizia kazi za renovation. Ametaja anataka kufanya rebranding. Hii rebranding na fence imeanguka, hata hakuna usalama pale. Hao watu wanakupeleka vibaya. Bw. Spika, sisi tunamwomba Bw. Waziri aje mwenyewe na atueleze ni pesa ngapi zimewekwa za kufanya marekebisho ya ile Huduma Centre. Hii ni kwa sababu hii Huduma Centre inaleta pesa na watu pale wanapeleka mambo yao. Kwa hivyo, ni pesa ngapi zimewekwa ili fence isimamishwe ndio ile aibu ya Serikali kuu iondoke pale. Swali langu la pili; Bw. Waziri amesema kuna interns walikuwa wanatakikana kule Tana River County, interns hawakuomba nafasi hizo. Huduma muhimu ni kama huduma ya pesa za Uwezo Fund na hizo haziko kwa hio Huduma Centre yetu. Watu wangejuaaje kutafuta kazi za interns kwa hii Huduma Centre kama watu hawapei hii huduma? Pia huduma ya Youth Development Entreprise Fund haipo. Hapa Nairobi na sehemu nyingi mjini, mtu akikosa huduma hapa, ataenda pale na atasaidika. Lakini, kule nje kama Tana River, ningemwomba Bw. Waziri atafute pesa za kutosha na atembee ili ajionee mwenyewe. Sisemi stori nyingi lakini ninaomba Bw. Waziri aje. Kule kwetu siyo bali, akisema twende, hata Kesho tutaenda na turudi, ili aone na aangalia vile hali ilivyo. Je, anawezatupa preferential treatment kwa sababu tuko bali? Watoto wetu wanatafuta leseni za National Transport and Safety Authority (NTSA) na hawapati The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}