GET /api/v0.1/hansard/entries/1475039/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1475039,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1475039/?format=api",
"text_counter": 79,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Bw. Spika, kwanza nampa kongole kwa kuwa Waziri katika Serikali ya Kenya Kwanza. Kuna upungufu wa wafanyakazi, haswa katika Huduma Centres nyingi. Unafanya au unakusudia kufanya nini kuhakikisha kwamba kuna wafanyakazi wa kutosha ili kuhakikisha hakuna foleni za kupata huduma zinazotafutwa sana na Wakenya katika Huduma centres?"
}