GET /api/v0.1/hansard/entries/1475136/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1475136,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1475136/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bi. Waziri tueleze kinaga ubaga sisi kama wawakilishi kutoka pande za pwani tujue vipi tutadhibiti umaskini tukiangazia kwamba utalii ni uchumi wa kipekee ambao pia unaweza kuongeza mapato ya taifa letu la Kenya. Asante."
}