GET /api/v0.1/hansard/entries/1475416/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1475416,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1475416/?format=api",
"text_counter": 197,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "tunaelekezwa wapi. Ninavyozungumza, Rais ametusaidia. Kule kwetu, viwango vya elimu viko chini sana, na madhara kwetu yameonekana. Vijana wameonekana wakienda wanavyokwenda ikabidi tuwasomeshe. Tukapewa nafasi ya kuajiri walimu lakini miongoni mwa walioajiriwa, ni waalimu wawili peke yake kutoka katika Lamu Mashariki. Hazina ya NG-CDF ilikuwa inatuokoa…"
}