GET /api/v0.1/hansard/entries/1475418/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1475418,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1475418/?format=api",
"text_counter": 199,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Hivi sasa, katika chuo cha Waislamu cha Mafunzo ya Ualimu, na kile cha Mafunzo ya Ualimu cha Shanzu, tunasomesha zaidi ya wanafunzi 100 kupitia usaidiza wa hazina ya NG-CDF. Hao wanaosoma wataenda wapi? Leo hii niko na msukumo mkubwa. Mkwe wake Nordin, ambaye ni Mwenyekti wa Board, amewafukuza wanafunzi hao kutoka chuoni kama njia moja ya kuniadhibu mimi kwa sababu sijakubali Ishakani na Dar-es-Salaam Point ziende Ijara. Hivi sasa, wanafunzi wamefukuzwa kutoka chuoni kwa sababu hatujalipa hiyo pesa. Hazina ya NG-CDF ikiondolewa, tutaenda wapi?"
}