GET /api/v0.1/hansard/entries/1475562/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1475562,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1475562/?format=api",
"text_counter": 343,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono ndugu yangu Mhe. John Kiarie kwa kuleta Mswada huu hapa Bungeni. Sisi sote tunajua ya kwamba teknolojia inatumika dunia nzima. Mpaka sasa, Wakenya tunalia ya kwamba vijana wetu wamekosa ajira. Lakini, tukitumia mbinu hii ambayo ndugu yangu ameleta, tutatoa hii technopolis kutoka Konza, iweze kuingia sehemu zote za taifa letu. Hii itawapatia watoto wetu mwanya wa kupata ajira. Mara mingi, tunawapata kwa simu na"
}