GET /api/v0.1/hansard/entries/1475564/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1475564,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1475564/?format=api",
    "text_counter": 345,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": ". Lakini, sasa wataweza kuingia kwa hizo hubs kujitafutia kazi, kufanya vitu vyao humo na kuingiza ajira. Wakati mwingi, utawapata vijana wakitumia WhatsApp na Facebook kufanya mambo ya kipuzipuzi. Lakini, tukiwapatia mwanya wa kufanya innovation, biashara, uchunguzi ama"
}