GET /api/v0.1/hansard/entries/1476013/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476013,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476013/?format=api",
    "text_counter": 402,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi nitoe maoni yangu kuhusu Mswada huu wa ugavi wa pesa kati ya Serikali kuu na serikali za kaunti. Jambo tunalolizungumzia leo linahusu kupunguzwa kwa huu mgao. Tulipitisha Serikali kuu itapata mgao wake na serikali za kaunti zitapata shilingi 400.1 bilioni. Sasa tunaletewa Mswada wa kupunguza hizi pesa za mgao wa serikali za kaunti kutoka Kshs400.1 bilioni. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate."
}