GET /api/v0.1/hansard/entries/1476014/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476014,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476014/?format=api",
"text_counter": 403,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mimi kama Seneta wa Kaunti ya Tana River ninakataa na kupinga pendekezo la kujaribu kupunguza mgao wa serikali za kaunti. Hii ni kwa sababu, Katiba inasema tuko na Serikali katika viwango viwili. Kuna kiwango cha Serikali kuu na majukumu yake. Vile vile, tuko na kiwango cha serikali za kaunti na majukumu yake."
}