GET /api/v0.1/hansard/entries/1476015/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476015,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476015/?format=api",
"text_counter": 404,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ni makosa kwamba Serikali kuu iendelee kuishi vizuri huku serikali za kaunti zikifinywa. Tukiendelesha mafikira kama haya na kuunga mkono Mswada kama huu, ni sawa na kuchukua mamlaka yetu kama Maseneta ya kupigania haki za kaunti na kuyatupa baharini."
}