GET /api/v0.1/hansard/entries/1476016/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476016,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476016/?format=api",
"text_counter": 405,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Tunaomba Katiba na serikali za kaunti zieshimiwe. Kuna wengine wamesema kuna sehemu za kaunti zinatumia pesa vibaya. Wanajaribu kutumia fikira hizoo kupunguza pesa zinazoenda kwa kaunti zetu. Ningependa kujibu hivi. Mambo ya utumizi mbaya wa fedha yawekwe tofauti na mgao wa pesa zinazopaswa kwenda kwa kaunti."
}