GET /api/v0.1/hansard/entries/1476018/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476018,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476018/?format=api",
    "text_counter": 407,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ukiangalia ule mgao unaoenda kwa Serikali kuu pia uko na shida. Kila mtu anajua. Ripoti za Mdhibiti wa Bajeti zinasema shida ya ufujaji wa pesa pia uko katika Serikali kuu. Kwa hivyo, hakuna haki ya kutumia mawazo hiyo kupunguza mgao wa kaunti."
}