GET /api/v0.1/hansard/entries/1476019/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476019,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476019/?format=api",
"text_counter": 408,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ninajua Maseneta wote tulio hapa tunapigania kaunti zetu zipate mgao wao. Tumezungumza na kupitisha haya. Kwa hivyo, mtu yoyote, kamati, sheria au hoja yoyote itakayokuja nyuma kukiuka kile tulipitisha na kuwatangazia watu wetu kule mashinani. Tutawaambia nini?"
}