GET /api/v0.1/hansard/entries/1476020/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476020,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476020/?format=api",
    "text_counter": 409,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Watu husema, jungu kuu halikosi ukoko. Kati ya serikali za kaunti na Serikali kuu, njungu kuu ni serikali kuu. Kama ingekuwa kuna mahali pa kupunguzwa pesa, zingefaa zipunguzwe kwa upande wa Serikali kuu na sio kwa mgao wa serikali za kaunti."
}