GET /api/v0.1/hansard/entries/1476021/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476021,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476021/?format=api",
    "text_counter": 410,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Magavana katika CoG siku zote wanalia kwamba hata ule mgao tunaopigania hapa hautoshi. Ni kweli serikali zetu za kaunti ziko na shida hata ya kulipa wafanyikazi. Mara nyingine, mishahara hukosa kulipwa kwa muda wa hata miezi miwili. Wafanyibiashara waliofanya na serikali za kaunti pia hawajalipwa. Sasa kama hali ndio hiyo, itakuwaje tena turudishiwe Mswada huu tuambiwe tupunguze tena mgao tulioupitisha na tukakubaliana unakwenda kwa serikali za kaunti?"
}