GET /api/v0.1/hansard/entries/1476022/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476022,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476022/?format=api",
    "text_counter": 411,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Hivyo basi, kama kuna kupunguza pesa kwa sehemu yoyote kwa hii bajeti kwa sababu ya shida zilizotokea, jungu kuu halikosi ukoko. Kwa hivyo, hii Serikali ya kuu ndio ingebeba huo msalaba na sio kuupeleka kwa serikali za kaunti ambazo tayari mgao wao hautoshelezi mahitaji yaliyoko kwa hizi serikali 47."
}