GET /api/v0.1/hansard/entries/1476023/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476023,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476023/?format=api",
"text_counter": 412,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kwa hivyo, napinga kupunguzwa huu mgao. Nawaomba Maseneta wezangu kutoka kila sehemu ya gatuzi zote 47 tupinge na kusema ya kwamba, kama kuna kupunguzwa pesa zozote, mgao unaofaa kupunguzwa ni wa upande wa Serikali kuu. Kwa hayo mengi, naupinga Mswada huu."
}