GET /api/v0.1/hansard/entries/1476035/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476035,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476035/?format=api",
"text_counter": 424,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Jambo la kusikitisha ni kwamba ikiwa huu Mswada utapitishwa vile ulivyo na tunawatuma hawa wenzetu ambao watatuwakilisha pale katika majadiliano haya, kuona ya kwamba wamesita, wameweka miguu yao kisawasawa kwa kusimama kidete na wasikubali hizi pesa ziweze kupunguzwa. Zikipuunguzwa, hatari itakuwa kwa watu waliochaguliwa kama Maseneta hapa kwa sababu wana swali la kujibu kule wanapotoka katika serikali za ugatuzi."
}