GET /api/v0.1/hansard/entries/1476036/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476036,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476036/?format=api",
"text_counter": 425,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, nataka kumalizia nikisema kwamba shida za serikali za ugatuzi ni nyingi sana. Hivi sasa tunaona ya kwamba hata mishahara katika serikali za ugatuzi haijalipwa. Watu kule pia kama vile wafanyakazi wana haja za kulipa na kuna mengi ambayo wanatakikana kufanya kama wafanyakazi. Majukumu yote yanafanywa na serikali za ugatuzi. Kulipwa mishahara ni haki ya wafanyakazi."
}