GET /api/v0.1/hansard/entries/1476037/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476037,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476037/?format=api",
"text_counter": 426,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Hivi sasa utaona wako wasichana na wavulana ambao wameachishwa shule. Wengine wameshidwa kuenda vyuo vikuu kwa sababu baba zao bado hawajalipwa pesa. Ikiwa sasa hawajalipwa, itakuwaje sasa ikiwa hizi pesa zitapunguzwa?"
}