GET /api/v0.1/hansard/entries/1476038/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476038,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476038/?format=api",
    "text_counter": 427,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Hii ni kwamba sasa, hata kwa familia kama mtu mmoja alikuwa haendi shule, basi watoto wengine pia watafuata hiyo kauli. Hii ni kwa sababu hakuna pesa katika familia na lazima wao pia wakae nyumbani wasiende shule."
}