GET /api/v0.1/hansard/entries/1476050/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476050,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476050/?format=api",
    "text_counter": 439,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii nichangie Mswada wa marekebisho ya sheria ya DORA. Kwanza kabisa naunga mkono ripoti ya Kamati ya Fedha na Bajeti ya Bunge hili kuhusiana na kuangalia kwao kwa Mswada huo wa marekebisho ya DORA."
}